UREEEEE WEMA NA PENNY URAFIKI UPYA MUNGU AWATIE NGUVU DADEKIIIII, USIGOMBANE NA MWANAMKE MWENZIO KISA X WAKO HAWABEBEKI KAMA ZIGO LA MWIXI NYIE MNAGOMBANA YEYE UKU ANA MWANAMKE MWINGINE ASIONE SKIRT MACHO YANAMTOKA KAMA ANATUNGA UZI GIZANI PENDANENI TU HALUA HAINA MAKOMBO.....

Tuesday, November 11, 2014 6 Comments

6 comments:

  1. DIDA NAKUPENDA KAA NAVYO WAPENDA WANANGU . MANENO YAKO YA UKWELI WENGINE WANAMWONA MPUUZI HAWAJUI KAA WANAUME NI SAWA NA KAPU LA MAVI . ULIKIBEBA NA NKONO ZITO NA HARUFU YAKUJIA USONIUKILIBEABA KICWANI LAVUJA.

    TUTAWANUNIA WANGAPI NA WANAUME HAWATULII NA WANATOKA HATUJUI WANGAPI WALOKUWA NAO . MUNGU AMBARIKI WEMA KWA ROHO YAKE .
    HAFI NA PRESHA HUYO
    NAMBA YAKE HAIFELIIIII
    HATA IKIFELISWA INADUNDA
    WATAJIBEBA WAKAANGA SUMU
    WATAKUFA KWA MVUKE

    ReplyDelete
  2. Please iachie hii mwali wangu
    Makuwadi . wakoroga sumu.Wanaolala kuwaombea moto wenzao wakati hata funguo za pepo hawana wamefunga vi laptop vyao ukitaka kuingia uwe na namba ya kuingilia . loo wataangazika kwa jua na kumalizikia motoni .
    Unaharibu ukijihisi wewe Mungu wakati mgawa riziki mwingine

    Aibu wanawake wamekaa kuvunjiana nyumba kisa kukomeshana . Unamkomesha mtu wakati kaondoka na kitumbua chake . Ungekiozesha ndo ujisifie ,
    wanashinda kutukanana kupitia anonym wewe mwanamke kweli siumfate mgonvi wako.
    WeMa atabaki kuwa wema na chake aloandaliwa kipo Kikiisha basi Mola ndo atakitoa.

    Mfanyia mabaya mwenzake asubiri zamu yake Sintarisha mie

    ReplyDelete
  3. Didaaaa umenichekeshaaaaaaa mpaka nimejikojolea,thanks Mamie u made my night

    ReplyDelete
  4. Haluwa haina makombo haswaaaa usigombane na mwanamke mwenzio muulize mme wako/kidume chako kwann akatongoze hukoooo wakati upo nae (dadekiiii - in dida's voice)

    ReplyDelete
  5. dida upo juu ukweli mtupu, km kipochi manyoya changu kipo fresh haka haina haja ya sisi kununiana. twapendana tuu atajijua yeye bwana!

    ReplyDelete