TUTAFANYAJE SASA NDIO TULIVYO...

Monday, April 21, 2014 12 Comments

12 comments:

  1. mwanamke wala mashallah.hicho kitumbo kivalie corset basi

    ReplyDelete
  2. Napenda sanaaaaa ur life style Mashallah mmpendeza sanaaaaa

    ReplyDelete
  3. m starting 2 b obsessed with u guys!

    ReplyDelete
  4. Pendeza mashaallah, hapo wapii jamaniii tujuzeni na cc tujitupeee!!!! Watu wanatamiii lakini ndo hawawezi mpo juuuuuu mamiii

    ReplyDelete
  5. Dida umependeza sana, mimi ningesuka hizo nywele maranyingi, swaga wewe na mr. ziko on point. hongereni sana.

    ReplyDelete
  6. Download captain america 2 : www.captainamerica2thewintersoldier.com/

    ReplyDelete
    Replies
    1. waoooooo mmemendeza sana wapendanao nice couple

      Delete
  7. AISEE YOU NEE TO TAKE CARE OF YOUR HEALTH. NAKUNASIHI KIROHO SAFI. HIVYO VYAKULA UNAVOONESHA NI VERY UNHEALTHY UKITOWA HIYO PROTEN NA SALAD. JARIBU SANA KULA PROTEIN NA FIBER ILI NA WENGINE WAKUIGIZA MY LOVE. HALAFU KUNYWA MAJI BADALA YA HAYO MASODA NA JARIBU KULA FRUITS KAMA KITINDA MLO. SITAPENDA KUKUONA UMEPATA MARADHI KAMA KISUKARI NA PRESSURE MY DEAR.NAJUA KIKWETU SAHANI IKIJAA VYAKULA KAMA HIVYO NI ISHARA YA FURAHA NA KUWA UNA MKWANJA MREFU. LAKINI KUMBUKA KUWA AFYA NI TAJI ALOVIKWA MTU NA HAKUNA ALIONAE ISIPOKUWA MGONJWA.

    ReplyDelete
  8. najiamini mpaka najiogopaApril 22, 2014 at 6:54 PM

    Napenda unaishi vizur Dida tunataman mpaka bongo kma ulaya .mbna ukiwa na pesa mambo ndo kma ayo big up Dida mmeo anatutoa roho nmegumdua anapenda wanaume wazur natania .mwaya

    ReplyDelete
  9. wow,always beautiful..dida and hubby...luv u guys

    ReplyDelete