KIPENGELE MUHIMU NI SURPRISE YA HUBBY NUSU NIMPANDISHE PRESHA....

Thursday, April 17, 2014 5 Comments

5 comments:

  1. Mashaallah Mola awape umri mrefu wote !
    Namwelewa shem surprise inapeleka moyo mbio . Dida nakusifu unajua unaijenga nyumba yako hayo ndo mapenzi mwali wangu . Mola awape mema na baraka na awaepushie viwavijeshi

    ReplyDelete
  2. In short nmependa sana yan imetulia Sana Dida

    ReplyDelete
  3. Mlipendeza na party ilinoga kwa kweli.

    ReplyDelete
  4. Duuh!kupendana raha sana jamani,kila la kheri

    ReplyDelete
  5. Dida umependeza sana na hobby wako miaka mianane hapana chezea mamaa wa mitikisiko.nataka kujua hiko kikabati cha wine kinafungukia wapi.

    ReplyDelete