HAYA MASHOSTI KAZI KWENU VITENGE VYA WAX TOKA DSTV KWA AJILI YENU

Thursday, April 24, 2014 3 Comments


Haya ndugu zangu kuna vitenge vipya vya wax vinatolewa kama zawadi kwa wanawake wanaotazama au kufuatilia DSTV. Lakini shindano hili linahusu zaidi wale wanawake waishio Dar kwanza na baadae tutakuja na plan nzuri kwa ajili ya wale wa mikoani.
Tafadhali anza kufuatilia maswali yatakayokua yanaulizwa katika kipindi cha MITIKISIKO YA PWANI Times Fm na yale yatakayoulizwa katika blog hii pamoja na Instagram Account ya Dida hii hapa @didashaibu 

VIGEZO NA MASHARTI:
Kwa wale watakaojibu kupitia Instagram na Blog hii tafadhali usijibu kama ANONYMOUS USER au ukifanya hivyo andika JINA na NAMBA YA SIMU ili iwe rahisi kukupata na kukupatia zawadi yako.

ASANTENI

3 comments:

  1. MTV, E.ENTERTAINMENT, MGM, AFRICA MAGIC, NA AFRICA MAGIC SWAHILI. NECIA SHUNDI. 0769186352

    ReplyDelete
  2. DSTV CHANELS ZA TAMTHILIA NI 118,151,152,153,NA 154 ZINAONYESHA TAMTHILIA KAMA ISIDINGO,KONA ,THE HOSTEL,JACOB CROSS,GENERATIONS NA THE DEL MONTE DYNASTY.JINA ZAINABU CM 0789129970.

    ReplyDelete
  3. Kuangalia cartoon Chanel kwa mwezi kulipia ni elfu 16,Catherine nipo tabata 0652161724

    ReplyDelete