THE AFTERMATH...

Monday, July 08, 2013 28 Comments

After the wedding, back to killing time on some area codes.... As usual.... Jah Bless








28 comments:

  1. Nimesikia jamaa wa 88,uwiii lakini c vibaya hata mtume wetu alioa mwanamke aliemzidi umri,Allah ibarik

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa wa 88 ana udogo gani huyo? Mbona mkubwa tu huyo, kibaya kama angekuwa mtoto wa primary au sekondary; anyway chamsingi ni mapenzi na maelewano age aint nothing but a number.

      Delete
    2. BADO MKO KARNE ILEEE
      ANGEOLEWA NA MENGI AU BAHARESA MSINGEONA UMRI MNGESEMA HONGERA DIDA
      PENZI NI MAELEWANO TUU KWANI HAA ANGEOLEWA NA KIBABU KAMA HANA PENZI UMRI HAUNA MAANA
      MOLA AWAJAALIE NDOA NJEMA NA IWE KHERI AWAPE SUBRA PENYE KUVUMILIANA MVUMILIANE ,MREKEBISHANA NA MUISHI WOTE MPK MZIKANE

      Delete
  2. Leo kumeandikwa ngeli humu mambo ya shemeji hayo,akufundishe fundishe na wewe mama,halaf dida pungua basi uendane na hubby ila umejitahidi bado tumbo tu

    ReplyDelete
  3. hongereni saana, hongera kwa ushujaa umeonesha mfano, ndoa ni paradiso ndogo why kujitesa sehemu ambayo hudhani km ni paradiso, wanawake wengi wanateseka na ndoa zao ila wameng'ang'ana nazo. hongera pia kwa fungate ya bagamoyo, Stella Maris hostel.kiwanja kipya cha Baganoyo

    ReplyDelete
  4. Inshaallah allah akukinge na macho ya kihasidi

    ReplyDelete
  5. safi sana mwenyezi mungu awatangulie kwenye ndoa yenu nzuri kabisa muishi kwa amani na upendo

    ReplyDelete
  6. Hongera Dida wa Ezden..umeopoa kiserengeti chako cha ukweeeee,handsom,tall n has got a killer smile..na swagga za ujana basi mweeeee,saiv umepata wa dizaini yako haswaaaaa,mana amejiachia kwa raha zakeeeeee...uuwiii wenye wivu mjinyongeeeee,hapa hadi chungu cha kumi..inawahuuuuuuuuuuu???Penda unapopendwa...nimekupenda bureeeeeeee Dida wa Ezden,unafanya kile moyo wako unapenda na sio maneno ya watu...wakuachee miaka 200!!!wewe ndio wewe na utabakia kuwa wewe..

    ReplyDelete
  7. Wawaaaa!mashaalah mmeivaje...love u mingi sana..Tawatakia mfungo mwema

    ReplyDelete
  8. Mashaallah Alah aibariki ndoa yenu na mwezi huu mtukufu safi sana. ila Dida itapendeza sana mpendwa ukabadilisha mavazi ww ni mtoto wa kislam na ni mke wa mtu sasa ni vizuri this time ukabadilisha mavazi mafupi mamy hopefull utapendeza sana kwani mwanamke stara mume pia atafurahi my dear ni ushauri tu coz love you.Ramadhani kareem.

    ReplyDelete
  9. ss inabd ubadlike kimavaz DIDA

    ReplyDelete
    Replies
    1. ABADILIKE KIMAWAZO ATEMBEE UCHI AU ABEBE NGUO MKONONI ??
      HIVI WANAWAKE WENZANGU NDOA MNAZIJUA AU MNAZISIKIA
      MNATAKIWA MUMUOMBEE KHERI KAMA HAO ANONY.. WENGINE HAPA HAKUNA KUPEANA SOMO
      UNATAKA AISHI NA MUME MIAKA MIA IKIWA ROHO YAKE HAINA FARAJA,
      INGIENI KTK MAFUNZO UKIMUONA MTU PAMEMSHINDA PANAMENGI HAKUNA ASOPENDA KUINUSURU NDOA YAKE
      MUME MTAMU JAMANI
      LAKINI MAUDHI HAYAVUMILIKI

      MOLA AKUJAALIE NDOA YENYE FARAJA NA MUMEWE MOLA AMPE MOYO WAUPENDO

      Delete
  10. Hongera sana mdogo wangu, kichuna wa tanga, ila nakuomba mdogo wangu wewe ni mtoto wa kiislam bi khadija, jitahidi katika mavazi hata kama hujazoea jitahidi utazoea tu.

    ReplyDelete
  11. Hongera mdogo wangu ndoa ni jambo la kheri, ila nakushauri mdogo wangu jitahidi katika swala la mavazi wewe ni mtoto wa kiislam, fanya ibada na muombe mungu usiku na mchana ili aikinge ndoa yako na kila balaa.

    ReplyDelete
  12. Nice dida mungu akuongoze ndoa yako ijae baraka fanya mambo upate mtt mwingine am sure atakuwa mzuri kama nyie

    ReplyDelete
  13. Hongera Sana he might be the choice ulokuwa unaitafuta kwa miaka mungu mungu ailinde ndoa yako vaa buti kukanyaga miba yote inayyotaka kusambalatisha ndoa yako

    ReplyDelete
  14. Hongera sana dida mashaallah M.Mungu awajalie ndoa ya heri. Jambo moja tu ndugu yangu mm naona sasa ubadilike kwenye mavazi ww ni mtoto wa kislam na mke wa mtu sasa basi utapendeza sana ukijibadolisha kidogo itapendeza sana my darling ni ushauri tu dear.

    ReplyDelete
  15. Hongereni Dida na Ezden, naona kujana ameng'aaaaaaaaaa? Dida kazi kwako kumtunza na utulie naye ss jamani, maisha ni uvumulivu pia.

    ReplyDelete
  16. Hongera ,mmependeza wenyewe,mungu baridi ndoa yenu

    ReplyDelete
  17. dida hiyo hotel kwa siku how much? niko nje ya nchi nimeipenda nikija nataka nifikie hapo.

    ReplyDelete
  18. Hongera sana Dida , cha msiingi mapenzi dear kama mnapendana hakuna na mwanaume mdogo we mpende mtunze atajaa nyama huyu . sioni tofauti kubwa kati yenu go on dear enjoy your life maisha yenyewe mafupi ya nini ujidhiki? all the best.

    ReplyDelete
  19. hongera dida na ezden

    ReplyDelete
  20. mi kusema ndoa hii, nimeipenda Dida, maana lazima tuishi kama tunakufa leo, ndoa ya serikali kwa mwenyezi mungu haikubaliki ni mambo ya kidunia, kila la kheri, kuwa mvumilivu ndoa ni safari ya kuvumiliana, kupendana, kusamehana na kusikilizana.

    ReplyDelete
  21. mwenyezimungu akujalieni ndoa yenye kheri na nyie inshallah, na kizazi chenye kheri na nyie na kilichobora inshallah.

    ReplyDelete
  22. Kweli ndoa ni bahati au mikosi sijui. umeolewa mara mbili na kudovirce na umeolewa tena kwa ndoa ya tatu wengine twajikongoja!!!!!! kazi ipo

    ReplyDelete
  23. Congrats Dida & Ezden what a lovely couple. God bless ur marriage.

    ReplyDelete
  24. mmmmh!! husband wako waukweee kama wewe mwenyewe...mungu awajalie maisha marefu na yenye baraka tele.lv uuuuuuuuuuu dida

    ReplyDelete
  25. mm nakupendaga sana ww dada kwa maamuzi yako. Achana na waswahili mara oh mara he angekuwa mzee babako kijana kosa ss wanataka nini songa mbele miaka miamoja wangu

    ReplyDelete