USIKU WA MASHOSTI

USIKU WA MASHOSTI
USIKU WA MASHOSTI NDANI YA DSTV PEKEE

Thursday, April 24, 2014

MZIGO MPYA WA POCHI UMEINGIA DIDA CLASICC BOUTIQUE KINONDONI KARIBU SANA NI TWO IN ONE 60000 TU PIGA SIMU 0712775150 AU 0655059242 KARIBUNI. ..

HAYA MASHOSTI KAZI KWENU VITENGE VYA WAX TOKA DSTV KWA AJILI YENU


Haya ndugu zangu kuna vitenge vipya vya wax vinatolewa kama zawadi kwa wanawake wanaotazama au kufuatilia DSTV. Lakini shindano hili linahusu zaidi wale wanawake waishio Dar kwanza na baadae tutakuja na plan nzuri kwa ajili ya wale wa mikoani.
Tafadhali anza kufuatilia maswali yatakayokua yanaulizwa katika kipindi cha MITIKISIKO YA PWANI Times Fm na yale yatakayoulizwa katika blog hii pamoja na Instagram Account ya Dida hii hapa @didashaibu 

VIGEZO NA MASHARTI:
Kwa wale watakaojibu kupitia Instagram na Blog hii tafadhali usijibu kama ANONYMOUS USER au ukifanya hivyo andika JINA na NAMBA YA SIMU ili iwe rahisi kukupata na kukupatia zawadi yako.

ASANTENI

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...